Aisee umepatia binamu maana naukumbuka ule wimbo....Huyo wa mwisho kama si michael jackson basi criss brown kwenye ile wimbo thriller anavocheza hahahahhahahahaa
Alikuwepo midamida...Ndo namuita hivo...nimeshindwa kujizua kucheka!!
Karibu kwa mikono miwili japo kahawa yenyewe kiduchu.......Na mie sikaribishwi hiyo kawaha hapa ndo asili yake bhana acha uchoyo....nipo sana tu ila nlikua busy mana nimehamisha makazi
Aisee umepatia binamu maana naukumbuka ule wimbo....
Jamaa nadhani alikuwa anamugilizia Chris Brown na si Michael Jackson...
Una kumbukumbu binamu, nakuvulia barghashia wallah......
Karibu kwa mikono miwili japo kahawa yenyewe kiduchu.......
Umehamia jukwaa gani..?
Lile la Kimbweka la kule chini...?
Au nimeelewa vibaya, hukumaanisha umehama jukwaa la hapa JF...?
Naomba nitoboe siri, huyo jamaa ni Bujibuji, niliifuma hii picha kwenye gari lake alipokuja Leo tupo hapa Pub....
Bi shosti nimekuja hahahahaja sasa huyo alovaa soksi mikononi hicho aloweka mguuni ni nini?
Naomba nitoboe siri, huyo jamaa ni Bujibuji, niliifuma hii picha kwenye gari lake alipokuja Leo tupo hapa Pub....
Saa ya ukutani imevalishwa tai:Amereplace ya mkononi!!BLING BLING!!Bi shosti nimekuja hahahahaja sasa huyo alovaa soksi mikononi hicho aloweka mguuni ni nini?
Tupia mipicha zaidi mkuu.Nilikuwa huko jana mkuu, leo najaribu kudondoshea moja moja hapa JF
Saa ya ukutani imevalishwa tai:Amereplace ya mkononi!!BLING BLING!!
Ni unifomu au saresare?Mbona hamuwajadili hao wadada hapo juu na magauni yao ya chirmen..........!
Jamani sasa si niko huku na lap top yangu...
Nilihifadhi madokomenti yangu humo..........