Naomba msicheke tafadhali: Mambo ya KITAAA.....!!!!

ya pili kutoka mwisho kweli ya juzi naona yebo ya mchina na wigi
 
Kamzidi micheal jackson huyo wa mwisho!
Halafu huyo wa sandles na soksi ameuaaaa!!
Kwenye picha ya nne amevaa soksi kwenye mikono?anawakilisha gloves uwiii...
Cc farkhina

Huyo uliomtaja nimem-miss kweli, yu wapi farkhina.....?
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda hiyo hapo chini ka michael Jackson ndani ya smooth criminal
 
Nimeipenda hiyo hapo chini ka michael Jackson ndani ya smooth criminal
Basi unge copy hiyo moja tun kuliko kubeba post yote, naomba kwa hisani yako u-edit picha uliyoipenda ili usiwachoshe wasomaji ku scroll down muda mrefu.... Sefet
 
Alikuwepo midamida...Ndo namuita hivo...nimeshindwa kujizua kucheka!!
Nomba umwambie namtafuta, sijaona maandishi yake kwa muda mrefu humu JF......
 
Kamzidi micheal jackson huyo wa mwisho!
Halafu huyo wa sandles na soksi ameuaaaa!!Hata sijui alichezaje mpira?
Kwenye picha ya nne amevaa soksi kwenye mikono?anawakilisha gloves uwiii...
Cc farkhina

Japo tumeambiwa yusicheke hebu mie nsije kufa kwa kukibana hahaahahahhhhh me nimpenda aloshika jembe namn alivochomekea
 
Huyo wa mwisho kama si michael jackson basi criss brown kwenye ile wimbo thriller anavocheza hahahahhahahahaa
 
Mtambuzi una mambo wewe!! Haya bhana wikend njema.
 
Last edited by a moderator:


Mtambuzi, ukitaka kuweka picha yangu unaniomba kibali mkuu.......
 
Last edited by a moderator:
Sorry nilikuwa najitengenezea kahawa....

Ulikuwa wapi binamu, maana kimya chako mh....!
Na mie sikaribishwi hiyo kawaha hapa ndo asili yake bhana acha uchoyo....nipo sana tu ila nlikua busy mana nimehamisha makazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…