Ndugu
MOLAM kuroot huawei si kitu kigumu sana, kitu kikubwa ni uwe na maarifa kidogo na computer yako.
Requirements..
1. Computer yenye Windows OS.
2. Kuna program maalum yenye option zote (All in One) zitakazokuwezesha kuroot na kuinstall recovery. (Kama utahitaji custom recovery)
3. Bootloader unlock code. (Kwa sababu kwenye hii Ascend Y300 tuna-unlock bootloader, kwa hiyo lazima uwe na codes sahihi. Jaribu kugoogle ukishindwa, utapata msaada zaidi.
4. USB cable inayofanya kazi vizuri.
NB: Kama simu yako ni toleo la tiGO (ina Network Lock) hakikisha ime-unlockiwa.
Hiyo program ya All in One nitakupatia link ili uweze kuipakua.