Naomba....msaada

Naomba....msaada

luckers

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
64
Reaction score
2
.wakuu ni wiki ya nne sasa tangu nianze kuulizia jinsi ya kununua simu kwa "ebay" yaani online kwa ku bid lakini sijapata msaada wa mtu kunielekeza cha kufanya please wanajamii wenzangu kama kunamtu anafahamu kuhusu namna ya kununua simu online aniambie....naomba sana
Be blessed guys
 
Niitumieje vizur...
Mkuu kuna sehemu kwa juu kabisa kwenye jf imeandikwa "search"
search.PNG
 
Back
Top Bottom