Naomba msaada. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kiba, Oct 30, 2012.

 1. Kiba

  Kiba JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari yenu wanajamii .
  Naombeni msaada wenu wale waliosoma open university .je kwa aliyemaliza kidato cha nne na kuchukua ECD Diploma anaweza kujiunga .sana sana kwa mkoa wa Mwanza b'se after siku mbili nakua mkoani Mwanza asanteni.
   
Loading...