naomba msaada

Kadamfu

Senior Member
Nov 18, 2011
117
31
laptop yangu haionyeshi vizuri video za kwenye mtandao .km vile youtube .yaani nakosa raha kabisa

  • :wacko:
 
laptop yangu haionyeshi vizuri video za kwenye mtandao .km vile youtube .yaani nakosa raha kabisa
  • :wacko:
Ndugu maelezo hayajitoshelezi kabisa. Ongeza maelezo ya tatizo ili tukupatie ushauri nini cha kufanya.
 
laptop yangu haionyeshi vizuri video za kwenye mtandao .km vile youtube .yaani nakosa raha kabisa

  • :wacko:

Ni laptop au mtandao unaoutumia? kama ni laptop, tupa, nunuwa nyingine. Hakikisha unapata angalau core i7 kwa sasa.

Hakikisha hununui mtumba. Wengine washaichoka nyie mnakurupuka.
 
Back
Top Bottom