Umemnunulia mkeo gari, unashngaa jioni ya jumapili anarudi kwa daladala. Gari wapi, anakwambia kapanda mbengu kanisani ili apate baraka. Japo ni swala la kidini utafanyaje funguo pastor kesha kabidhiwa;

basi kabla ya kufanya hivo akushirikishe kwanza. lkn ghafla tu hapo kuna alama ya kuuliza why? wataeleza mbele ya waumini kuna nini kinaendelea kati yao wawili.
utakoma ubishi,mpaka unamuoa si ulijua kuwa mkeo ni zoba? ila kwa kuwa ulikuwa na ego kuwa utamtawala kirahisi kama mwanaume kwa vile ni zoba ukamuoa!sasa kula matapishi yako!
hukutakiwa kuweka kwa jina la mke wako in the first place, kama unamjua ni mtu wa aina hiyo. Na kama mnachangia property (katika mkataba wa ndoa) unaruhusa ya ku fanya "opporision to the donation". Charity ina sharti za ke na kama hakuzifatilia Pasta anatakiwa akurudishie gari, hata kama imeandikwa kwa jina la mke.
Mke wako hajakosea kabisa ata kidogo nani mtu wakuigwa na jamii na waumini wote chakufanya muombe Mungu apokee sadaka yenu na awape upendo na moyo wakutoa.Mungu awabariki saana .