Hivi ni lazima kisheria kujiunga na chama cha wafanyakazi kisheria, maana mimi nimeungwa moja kwa moja bila consultation na kwakweli sipendi hivi vyama wala sitaki kukatwa pesa yangu kuchangia hivi vyama naomba msaada kisheria kabla sijaenda kuwavaa ma HR wanitoe