Naomba msaada

rettyy

Member
Joined
Nov 7, 2017
Posts
73
Reaction score
37
Nashindwa kutuma meseji kama inavyoonekana apo chini, nini suluhisho lake?
 
Unatumia line gani?
Una credit?

Zima hiyo roaming huku unanijibu maswali yangu.
 
Fanya hivi;
1. Bonyeza Sehemu ya 'Message' kwenye simu yako
2. Baada ya hapo bonyeza sehemu ya Menu upande wa kushoto wa simu yako
3. Itakuletea chaguo kadhaa, chagua Settings ya kwanza kwa juu
4. Ukishabonyeza Chagua 'Text Message (SMS)' ambayo ni ya pili
5. Ikifungua shuka chini kuna sehemu pameandikwa 'SMS Service Center'
6. Iangalie alafu niambie kuna namba zipi kisha tutaendelea
 
Inaonyesha uwepo wa lain 2 yaan Ttcl & Airtel. Mkuu kwa kifup ni kwamba sms fup znaenda lkn ndef haziend na nmechek setting ya multiple sms akna shida
 
Inaonyesha uwepo wa lain 2 yaan Ttcl & Airtel. Mkuu kwa kifup ni kwamba sms fup znaenda lkn ndef haziend na nmechek setting ya multiple sms akna shida
Mkuu, basi hapo hakuna shida.

Sms zote zikiwa ndefu hubadilika kutoka text message (SMS) kuwa Multimedia message (MMS) na hivyo kushindwa kwenda.

Kwa hiyo, andika kwa kiwango cha text tu na kisha utume. Au uigawe mara mbili.
 
Uko sahihi lkn hyo ya juu apo ni 3 kwa 1 lkn ndo ivo haiend
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…