Naomba Msaada

Kuna watu bado mnazungumzia makabila??? Aisee!!!!!!!!!!!!!!

Mie umenikwaza tena sana...................

Mwambie Akimaliza kuchunguza wameru, aende kwenye dini, akimaliza achunguze warefu, wafupi wanene wembamba akimaliza achunguze weupe weusi aendelee na uchunguzi wake ataelewa.......................

Ujumbe umefika .... ila usifikiri watu wote wanabadilika kama wengine!!! wengine wana imani na misimamo yao
 
hapo kwenye RED samahani.. inahusiana tena mnoooo..... labda huyu msichana amekuwa adopted na wazazi wengine na sio wa kabila lake...

malezi atakayo yapata kuhusu mila & desturi atakua nayo na ndio itakuwa tabia yake !.... NDIO MAANA WATU WENYE BUSARA WALISEMA NI NGUMU KUBADILI TABIA YA MTU!

Ya kweli hayo Mkubwa?

Naomba jibu basi nami nijue.....Watoto wangu mimi (kabila Mmasai) na mama yao Msukuma, kwa sasa wanaishi na wadigo, wadengereko, Wazaramo, Wakurya, Wajita, Waha, Wanyambo, Wamakonde, Wangoni, Wahindi, Waarabu.....etc..etc...Na wameishi na wasichana wa kazi kutoka makabila kama 20 hivi!!

Hawa watakakuwa na tabia za kabila gani????
 
Maswali kama haya huwa hayakosi majibu tena ya uhakika mtu akienda kwa sangoma!!

aahhahahahaa teh tehe teh mkuu hapo akishindwa ni kumshauri amwombe MUNGU sana (Ndicho nilichomwambia mwanzoni sasa sijui kama atafuata)
 
Ya kweli hayo Mkubwa?

Naomba jibu basi nami nijue.....Watoto wangu mimi (kabila Mmasai) na mama yao Msukuma, kwa sasa wanaishi na wadigo, wadengereko, Wazaramo, Wakurya, Wajita, Waha, Wanyambo, Wamakonde, Wangoni, Wahindi, Waarabu.....etc..etc...Na wameishi na wasichana wa kazi kutoka makabila kama 20 hivi!!

Hawa watakakuwa na tabia za kabila gani????

Hawa mkuu wanaitwa waswahili !!!! ila wangeishi Umasaini ingawa mama yao msukuma .. Yaani wangekuwa wamasai haswaa, tena hata huulizi
 
aahhahahahaa teh tehe teh mkuu hapo akishindwa ni kumshauri amwombe MUNGU sana (Ndicho nilichomwambia mwanzoni sasa sijui kama atafuata)

Jibu ni rahisi tu...Kuomba anaweza kuomba hata dunia ikamaliza kulizunguka jua....He should just play his part kama kweli anatafuta rafiki!! Vinginevyo aendelee kutafuta mahali pa kuficha udhaifu wake (iwe ni kwenye kabila, dini, rangi au morphology)!!
 
Waswahili nalo ni kabila???

Siyo kabila mkuu ila ni signal ya makuzi!!!

ni kama wasio na dini tunawaita wapagani! Mtu ukimuuliza wewe dini gani anakujibu mpagani!! yaani yeye kokote sawa tu, na kabila ni hivyo hivyo
 
Siyo kabila mkuu ila ni signal ya makuzi!!!

ni kama wasio na dini tunawaita wapagani! Mtu ukimuuliza wewe dini gani anakujibu mpagani!! yaani yeye kokote sawa tu, na kabila ni hivyo hivyo

Na kama tabia zinategemea kabila...hawa waswahili wasio na mbele au nyuma tabia zao zinategemea nini?? Mtu atakeyataka kuoa kama huyo ndugu yako atawajuaje ili asije kuuvaa mkenge??
 
Kweli kuwa na mvi kunasaidia thanks

Mhhhh...sitaki kusema mengi ila kuna watu wanaongea vitu hadi unashangaa...Labda ndo mambo ya Masaburi!!

Mtu keshapata rafiki wa kike na tayari anaonekana mzuka uko juu...Badala ya kumshukuru Mungu anaanza kujitafutia BP kwa kufukua makaburi ya babu na bibi zake. Is that fair???

Haya bwana...Ngoja tusubiri mshindonyuma kama atapata kabila la malaika!
 
If it was i would have been the one asking them silly questions...
<br />
<br />
Your right gal,achana na watu ambao bado wako kny ulimwengu mwingine! Sasa imagine huyu ambaye bado ana mtizamo huu angalau ameingia madarasa kadhaa,je yule ambae hajaenda shule kabisa ataelimishwa na nani kama hali yenyewe ndiyo hii! Is just a CRAP
 
Ni kweli maharage ya mbeya hayafanani na ya Kilimanjaro ..... hivyo utofauti upo tuuuuu!!!
<br />
<br />
Mkubwa nadhan mshauri rafiki yako afuate hisia zake then a assess mwenendo wa huyo binti kuliko mambo ya makabila, afta ol wameru wazuri!
 
Back
Top Bottom