naomba msaada

Huna tatizo ndugu madhali wakati wa shughuli unawajibika ipasavyo. Ridhika na ulichonacho usitafute matatizo Mkuu
 
Kijana lizika na ulicho nacho
kusinyaa ni kawaida kabisa
au unataka usimame kama mti masaa 24/7?
 
Kusinyaa kawaida, hata mimi ninakuwa hivo. Ila nimeridhika. Flaccid state linasinyaa, erection kama mti, poa tu mbona.
 
Back
Top Bottom