naomba msaada wenuwa mawazo ya kina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba msaada wenuwa mawazo ya kina

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by dit, Jan 15, 2012.

 1. d

  dit New Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kwa mara ya kwanza najitokeza katika ukurasa huu wadau naomba msaada wenu wa mawazo kwani nina rafiki ambaye tulipendana sana na tumedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu lakini cha ajabu mwishoni mwa mwaka jana alinitumia ujumbe kuwa umegundua kuwa sina mapenzi ya dhati kwake kwa hiyo amempata anayempenda kwa dhati kiukweli nimemfia mbaya kila nikijitahidi kumsahau inakua ngumu.nifanyeje
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Zoea tu, ndo keshakumwaga hivyo.
  Au unataka kuwa spare tyre sehemu ambayo ulikuwa mskano?

  Lol, tafuta kitu kipya hapo huna chako tena.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kakumwaga, kapata mwingine. . .
  Umemwagwa na wewe tafuta mwingine.
   
 4. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwanza hujakuwa wazi. Huyo rafiki ni lover au sahibu. Kama ni lover basi ameku DUMP. If this is the case you have to forget your EX- Lover. Lakini kama ni sahibu, jaribu kujichunguza mapungufu yako. GOOD FRIENDS ARE HARD TO GET AND FAITHFULL LOVERS ARE EXTREMELY DIFFICULT TO KEEP.
   
 5. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mlipendana sana nan kakuambia?mademu ndio zao!wakipata jamaa mpya wanajifanya wamepata mapenz ya dhati!ni kawaida mkubwa!kubaliana na hali hiyo!utampata mwingine wa ukweli!pole sana
   
 6. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  sasa kama wewe mwenyewe kweli hukuwa na mapenzi ya dhati unategemea utasaidiwaje?
   
 7. h

  hayaka JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  we kaza moyo! Maisha bila yeye yanawezekana.
   
 8. h

  hayaka JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  we kaza moyo! Songa mbele, Maisha bila yeye yanawezekana.
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hamna cha NGUMU wala NIFANYEJE ! hajakukata miguu, mikono au kakutofoa macho! Jipange start afresh.
  Semi zenye hekima na busara zasema " Usione kile ukipendacho saaana kinakutoka ukachanganyikiwa kumbe kina shari nawe mbeleni na Mungu anakuepusha nacho kwa style hiyo" penzi la kulivuta kwa bisibisi, spana, plaiz, reki, ngumi si penzi aslani.
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  sometimes

  people change,
  things go wrong,shit happens,but ts nah big deal n'mo
  LIFE GOES ON.
   
 11. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jinsia yako tafadhali, we mke au mume?
   
 12. K

  Kanguni Member

  #12
  Jan 16, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jinsia?... hili litakuwa dume tu babake... cheki 2 stail yake ya kukomplein... ameshikwa na hofu ya kuanza kuwaaprochi hadi akamate kifaa kingine kama kile... itakuwa ngumu kidogo... keshashusha maprobability... imekula kwake... life goes on? not really... itachukua muda ajitahidi kusahau na si kukurupuka kusaka replacement haraka kwani that way... frustration garantiid...
   
Loading...