Najua jukwaa hli wapo wengi wanaoingia humu,mimi nipo kalangalala,Geita! Natafuta cmu ya kununua aina ya Nokia(X2)! Kama kuna mtu anauza,au umesikia fulani anauza,tafadhali naomba tuwasiliane kwa nambari 0759 947 397.Nitashukuru kama nitasaidiwa hli!