Naomba msaada wenu

Naomba msaada wenu

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
7,460
Reaction score
4,402
Salamu zangu kwenu wote

Mwaka jana mwezi wa nne nilipata matatizo kazini na nikafukuzwa kazi. Baada ya hapo nikawa nafanya kazi yoyote inayotokea za kusaidia fundi sikuweza kufanya biashara kwakuwa sikuwa na mtaji na akiba ya pesa niliyokuwa nayo ilikuwa kidogo

Mwezi wa saba mwaka jana nikaachana na mwanamke niliyekuwa naishi nae tuligawana baadhi ya vitu, aliniachia mtoto niliyezaa nae nilishindwa kukaa nae kwakuwa ni mdogo hivyo nikampeleka kwa mama yangu

Baada ya hapo maisha yamezidi kuwa magumu upatikanaji wa kazi za ujenzi umekuwa mgumu, nadaiwa kodi na nimekuwa nasumbuliwa na vidonda vya tumbo

Naomba msaada kwa yeyote yule atakayeweza kunisaidia pesa au ushauri

Nina shida ya elfu kumi ambayo nitatumia kula leo na kesho na kesho kutwa

Yupo mtu ameniambia atakuja Jumatano kununua kitanda changu, natarajia kulipia leseni ya kuendesha bodaboda
 
Wanawake ni washenzi sana atakupanulia ukiwa na hela Ila ukiishiwa ujue kwaheri anaenda kupanua we kwingine mtu ambaye unategemea atakupa support ili uvuke kwenye hiyo hali anakutupa kweupe kabisa.

Yani amediriki hadi kuacha mtoto mchanga aliyemzaa aisee dah. Komaa na life mambo hubadilika huyo mwanaharamu tu hao hawanaga shukrani ni Kama mdhuti hata uoshe vipi utanuka tu.

Tunza mwanao Mungu atakubatiki.
 
Wanawake ni washenzi sana atakupanulia ukiwa na hela Ila ukiishiwa ujue kwaheri anaenda kupanua we kwingine mtu ambaye unategemea atakupa support ili uvuke kwenye hiyo hali.

mkuu

we acha tu bora tungeachana kistaarabu ingekuwa afadhari

alianza kunifanyia vituko, maneno ya kejeli na dharau, ukweli naye alizidi kunichanganya akili yangu
 
Wanawake ni washenzi sana atakupanulia ukiwa na hela Ila ukiishiwa ujue kwaheri anaenda kupanua we kwingine mtu ambaye unategemea atakupa support ili uvuke kwenye hiyo hali anakutupa kweupe kabisa.

Yani amediriki hadi kuacha mtoto mchanga aliyemzaa aisee dah. Komaa na life mambo hubadilika huyo mwanaharamu tu hao hawanaga shukrani ni Kama mdhuti hata uoshe vipi utanuka tu.

Tunza mwanao Mungu atakubatiki.

Kuna wanaume wengine wapo kwenye mahusiano na mwanamke .. hali mbaya.. akianza kupata mafanikio tu anamuacha mwanamke ambaye aliyekuwa anamvumilia anatafuta wanawake wengine.. MAHUSIANO ni ovyo tu kiujumla usiwalaumu WANAWAKE.. mzee na mimi ndugu yako hali mbaya nilitaka hata nisikoment huu uzi sema hii koment imenishawishi.. sina kitu mbaba..
 
Hemu tuache kutoa pole, yani tufanye Hivi hata Kama Dogo anaweza Kuwa anadanganya, tumtumie hela, Dogo weka namba, hata Kama Ni 100 au 200; kweli Huyu dogo analala njaa, tukitoa tunatoa Kwa Mungu, Kama tunayempa anadanganya atakutana Na Mungu. Let's act and not talk, Dogo weka namba!
 
Oya.

Punguza kisirani mtumie huo msimbazi afu maneno mengi baadae.
 
mkuu

we acha tu bora tungeachana kistaarabu ingekuwa afadhari

alianza kunifanyia vituko, maneno ya kejeli na dharau, ukweli naye alizidi kunichanganya akili yangu
It's obvious mwanaume ukiwa kwenye financial crisis na ikatokea unaishi na mwanamke mpumbavu atakufrustrate mpaka hautaweza kufikiria namna ya kujikwamua.

Hawa watu tunaishi nao Ila wanatuua mapema sana na hawana huruma hata punje. Huwezi kumsikia mke anasema namuonea huruma huyu baba anafanya kazi anatulisha na kusomeshwa watoto mostly atatafuta mgombane tu ataamua tu kukupa stress.

Ndio maana wengine tunaamua kujinywea whisky ukifika wamelala unalala zako kwa amani otherwise utajikuta una stress za maisha.
 
Hemu tuache kutoa pole, yani tufanye Hivi hata Kama Dogo anaweza Kuwa anadanganya, tumtumie hela, Dogo weka namba, hata Kama Ni 100 au 200; kweli Huyu dogo analala njaa, tukitoa tunatoa Kwa Mungu, Kama tunayempa anadanganya atakutana Na Mungu. Let's act and not talk, Dogo weka namba!

Sina nia ya utapeli au kudanganya

Kutoa ni moyo na sio utajiri, mi napokea kiasi chochote kwa ambaye atakuwa na nia kunisaidia

Namba ya simu naweza kumpa mtu ktk pm
 
Kuna wanaume wengine wapo kwenye mahusiano na mwanamke .. hali mbaya.. akianza kupata mafanikio tu anamuacha mwanamke ambaye aliyekuwa anamvumilia anatafuta wanawake wengine.. MAHUSIANO ni ovyo tu kiujumla usiwalaumu WANAWAKE.. mzee na mimi ndugu yako hali mbaya nilitaka hata nisikoment huu uzi sema hii koment imenishawishi.. sina kitu mbaba..
Binafsi nimecomment kulingana na situation ya mleta mada maana ishu ya ndoa ukianza kuandika hapatatosha lakini niliona nicomment kulingana na huyo mwanamke alichomfanyia mshkaji na kuacha Hadi mtoto hii sio sawa kabisa aisee.

Wengi tunapitia hizi Hali na ukikaa na wanaume wengi utajua Wana matatizo makubwa Ila huwa tumeumbwa kunyamaza na wanawake wanatumia hii fursa kufanya unyama wao.

Wapo wanaume wanakosea wake zao hii ipo tu, wako pia wenye sababu zao mfano mtu Kama huyu mleta mada hata mwanamke akimrudia just in case kwamba walee mtoto huyo mwanamke akilalamika bado mwanaume atalaumiwa tu Ila huwa tunanyamaza tu.

Ukweli ni kwamba, mtoto wa kiume hana pa kusema matatizo yake ndio maana huwa tuna maamuzi yetu mtu unamlisha , unasomesha yeye na ndugu zake na watoto, unahangaika kujenga nyumba , unamnunulia na gari lakini anakuwa hawezi kushukuru hata kidogo.

Mwisho wa siku unaenda unakokuwa appreciated, Kuna mademu ukimpa laki mbili anakutunza na anakuheshimu mno, ukimlipia vyumba viwili na sebule anamuona Kama wewe ni mwokozi wake Ila unakaa na mshenzi hajui hata kusema mume wangu Asante kwa kututunza japo ni wajibu Ila just show appreciation.

Sasa ukose hela ananuna badala ya kuwa comfort, hata TV ukishika remote anaanza kulalamika tu tunaangalia tamthilia, hivi mwanaume gani atakaa na hiyo umbwa?

Ukifanikiwa kuachana na wanamke wa hivyo kabla hujamuua shukuru Mungu hata kama unalala njaa.
 
Wanawake ni washenzi sana atakupanulia ukiwa na hela Ila ukiishiwa ujue kwaheri anaenda kupanua we kwingine mtu ambaye unategemea atakupa support ili uvuke kwenye hiyo hali anakutupa kweupe kabisa.

Yani amediriki hadi kuacha mtoto mchanga aliyemzaa aisee dah. Komaa na life mambo hubadilika huyo mwanaharamu tu hao hawanaga shukrani ni Kama mdhuti hata uoshe vipi utanuka tu.

Tunza mwanao Mungu atakubatiki.
Nilichogundua mama mzazi ndio mtu pekee anayeweza pita na wewe kwenye hali zote ziwe za raha au shida. Hawa wanawake wengine hakuna kitu ..ukiwa na shida utapambana peke yako ukizipata hela atakuja mtakula wote teeena atajioendekeza kweli...hata baba yuko likely kukukazia ukiwa na shida kubwa ila Mama dahh atapambana na wewe hadi usimame. RIP mama yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom