Nimei-format hard disk yangu, lkn sasa inanionesha kuwa ina capacity ndogo mno! Some kilobytes badala ya 40GB!! Yaani, siwezi kuingiza hata program moja!
Nifanye nini kui-restore ktk capacity yake? Au inamaanisha kuwa HD hiyo haiwezi kufanya kazi tena?
Natanguliza shukran zangu.
T-1