Hii simu yangu ina tatizo la kupokea sms. Mtu anaweza kunitumia sms ikaonyesha delivery report lakini kwangu isiwe imefika kwa wakati huo,ikafika baada ya siku 1 au 2 hata 3.
Hasa sms za kuanzia mchana hadi usiku huwa nazipata siku inayofuata au nyingine tena,vinginevyo ikifika usiku au jioni nizime simu na kuiwasha,sms zote za mchana kutwa zinaingia.
Tatizo ni nini,simu au mtandao?natumia vodacom kazi ni kwako.