Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,251
- 2,131
Habari wana jf.
Mtoto wa mwenye nyumba amefanya mtihani wa pre national juzi.Sasa Katika mtihani huo kulikuwa na swali ya mathematics ambalo hata walimu wake wamelishindwa dogo na Mama ake wameniletea Mimi.
Nimeyapiga hayo maswali lakini nimechemka sasa nimeyaleta kwenu.
Fanya weka na njia hapo chini.Maswali Yote mawili