naomba msaada wenu nimwache huyu binti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba msaada wenu nimwache huyu binti

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mkulimamwema, May 19, 2011.

 1. m

  mkulimamwema Senior Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania mimi ni mwanaume niliye na mchumba ninayemjali sana,nilimwamini na kumtambulisha kwa ndugu zangu lakini ghafla amebadilika anazima simu na kuwa na visingizio vingi.Leo ilifikia hatua ya kunikatia simu na nilipompigia hakupokea pamoja na kumpigia mara nyingi ingawa alijaribu baadae kunipigia nilishindwa kupokea kwani nilikuwa bado nina hasira.
  Huyu bibie amegundua kuwa nampenda sana hata akikosa si mwepesi kuomba msamaha mpaka nimkumbushe,nimevumilia sana lakini kwa kuwa sijamwoa naona bora nichague mwingine lakini kabla ya kuamua sipo peke yako nina ndugu zangu kwenye familia yetu ya jammii forum naomba ushauri wenu nichanganye na wa mbayuwayu
   
 2. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Alivyokupigia simu si ungepokea na kumuuliza kulikoni, kwa kutokupokea kwako na yeye anaweza akajenga tafsiri yake, lkn chunguza hayo mabadiliko ya ghafla
   
 3. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kaka kusoma ushindwe hata kuangalia picha?
   
 4. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kiufupi dm wako anajisikia sana kama vp mpotezee madem wengi wanatafta wa kuwaoa yy anakuzingua bado hujachelewa huyo dm ana mambo mengi
   
Loading...