Naomba msaada wenu, nimepanick

Kuna watu huku sijui shule ndio tatizo au ndio ile kujifanya wanajua sana, sasa mtu ana sms tayari 2 za miamala unadhani wakala atakata aje kwa mfano? Akikataa dada kwanza amchukue namba ya wakala aendee kwenye tawi la bank awape na namba ya simu wata cheki na watajua kama ni kweli watawasiliana na wakala . Kwisha . Wala hakuna kupanic hapo .
 
Mrudie wakala akiataa. Nenda kwa boss wake ( CRDB ) utapata haki yako.

CRDB ni BRAND kubwa hawawezi kujiharibia kwa pesa kidogo namna hiyo!
Kwa uthibitisho upi? kama alipochukua pesa alisaini, sawa. Kawaida ukichukua pesa kwa wakala kuna fomu unasaini. Ila siku hizi hatua hiyo wengi wanaitelekeza. Maafa yake ndio hayo. Kukusaidia hizo mesegi kamsukumie mzigo kama hajakusaidia.
 
Umepanic sana wakati jambo ni rahisi,muhamala unaonekana umetoka pitia wakala yupi ni jambo simple sana nenda na msg za muhamala kwa wakala ikishindikana akiruka basi nenda crdb tawi lolote waeleze kilichotokea watajua cha kukusaidia...siku ingine huwe unamsikiliza mumeo ungeenda kwenye ATM haya yasingetokea
 
Kwa uthibitisho upi? kama alipochukua pesa alisaini, sawa. Kawaida ukichukua pesa kwa wakala kuna fomu unasaini. Ila siku hizi hatua hiyo wengi wanaitelekeza. Maafa yake ndio hayo. Kukusaidia hizo mesegi kamsukumie mzigo kama hajakusaidia.
Sikusaini mahali,, ingawa bank walitoa order nipewe baada ya wakala kukataa
 
Mimi ni mfanyabiashara huwa inanitokea Mara nyingi mtandao ukigoma ikaonekana nimekatwa huwa nampa tahadhari hapo hapo wakala kuwa mtandao umeleta shida salio likisoma nakuja kuchukua pesa yangu halafu si wanakitabu chao pale vipi ulisaini?
 
Sikusaini wala
 
Mkuu kama hazikutoka ktk mashine baada ya wewe kuondoka lazima zilirudishwa kwenye account yako baadae au siku nyingine, sema hukuangalia statement tena baada ya muda.

Pili ungeweza kutuma email kwa bank yako kupitia kurasa zao za maoni au huduma kwa wateja wangekurudiashia.
Ungetuma nakala ya email kwa Bank wamiliki wa ATM uliyo tumia.

Rollback kwa incomplete and uncommitted transaction lazima ifanyike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…