Naomba msaada wenu, nimepanick

Naunga mkono hoja, meseji unayo ya uthibitisho hivyo mfuate wakala na usionyeshe hali ya kuwa na uwoga au wasiwasi wowote, mfuate straight, chukua simu fungua meseji weka mbele yake, mwambie lini ulitoa na jinsi hali ilivyokuwa then subiri response yake.
 
Niliipata mkuu, alinipa
 
Nilipoteza helA yangu kwa sim banking ya crdb na kuanzia hapo nikahamia bank nyingine
 
haki yako haiwezi kupotea ...
 
Kwanza nakupa pole Ila usikate tamaa kwani haki ya mtu haipotei.

Pili nakushauri usiwe na kiburi kwa Mmeo, alikushauri hukutaka kumsikia mambo yalivyoharibika umekaa kimya then unakuja kutafuta suluhu hapa. Kwa namna ilivyoleta mada yako psychologically unaonekana unamdharau mmeo na nyie ndio wachepukaji kwenye ndoa.

Sasa kwa mfano utakapoenda KKoo kufuatilia hilo suala utamwambiaje? Ni dhahiri utamdanganya na Je, akikuta kwa bahati mbaya huko utamuelezaje? Be open to your husband ili uwe free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…