Naomba msaada wenu, nimepanick

Nenda hardware nunua bispis, koleo, kisu na panga pitia petrol station nunua petrol lita mbili, kiberiti, then mfuate incase kazingua utaangalia kinachomfaa kati ya hivyo au vyote kwa hatua au kwa mpigo.
 
HJajjaa nimesoma huku nacheka had machozi😅😅😅😂🤣🤣🤣🤣🤣
 
ATM za Bongo ni nuksi. Mimi ilinikuta CRDB. Nimeweka kadi nitoe laki nne mashine ikachanga kama inahesabu. Halafu kimya. Nikiangalia salio naona fedha zimepungua. Nikapiga simu (namba zilizopo kwenye ATM) wakaniambia kama hazikutoka nisuburi huenda zikarudi. Kweli baada ya muda zikakuta salio limerudi kawaida. Ila mizwenge ya aina hii huwa inatokea sana kwenye ATM zao. Sijui zina hitalafu gani.
 
Jaribu kufuatilia kwa huyo wakala akikataa nenda makao makuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…