Queenever1
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 422
- 818
Ngoja waje wakupe muongozo(in smart911 voice)Habari za usiku,,jamani nisaidieni nifanyaje. Juzi nilikua kkoo nikatoa Pesa kwa Crdb wakala, mtandao ulisumbua sana badae ikatoka akanipa. Nikaondoka. Sasa Leo nafsi ikaniambia angalia salio,,naangalia nakuta ile Pesa niliyotoa ,,imetoka na nyingine kiasi kile kile ,,nikapanic kurudi kwenye msg zipo mbili zinaonesha hela ilitoka Mara mbili ( laki 2 ×2=400000/=) nimepanic sijui naanzia wapi ,,nataka kesho niende kwa Yule wakala je atakubali ndo kinachonipa headache ,,nifanyaje nipate Pesa yangu??? Mwenye wazo wapendwa,Ahsanteni. Nilikua na Mr alinizuia kabisa kutoa pesa kwa wakala kwa vile niliona ATM ziko mbali nikalazimisha,,sasa nahaha mwenyewe kitandani naogopa hata kusema[emoji36]
Unanitishaaa😰😥Mmmmmh hio bet ni ngumu, ila jaribu....
Ila kutoa hela k.koo nako ni maamuzi magumuu
Cc mahondawNgoja waje wakupe muongozo(in smart911 voice)
Ntaenda kesho,, nitaleta feedbackHapo ukute mtu mwenye rohoo nzuri sanaaa yani ya malaikaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulete mrejesho kesho shogaUnanitishaaa😰😥
Mrudie wakala akiataa. Nenda kwa boss wake ( CRDB ) utapata haki yako.Habari za usiku,,jamani nisaidieni nifanyaje. Juzi nilikua Kariakoo nikatoa Pesa kwa Crdb wakala, mtandao ulisumbua sana badae ikatoka akanipa nikaondoka.
Sasa Leo nafsi ikaniambia angalia salio,,naangalia nakuta ile Pesa niliyotoa ,,imetoka na nyingine kiasi kile kile ,,nikapanic kurudi kwenye msg zipo mbili zinaonesha hela ilitoka Mara mbili ( laki 2 ×2=400000/=) nimepanic sijui naanzia wapi ,,nataka kesho niende kwa Yule wakala je atakubali ndo kinachonipa headache ,,nifanyaje nipate Pesa yangu???
Mwenye wazo wapendwa,Ahsanteni. Nilikua na Mr alinizuia kabisa kutoa pesa kwa wakala kwa vile niliona ATM ziko mbali nikalazimisha,,sasa nahaha mwenyewe kitandani naogopa hata kusema😤
Nitaleta sina amani kabisa,, km najiona akigoma Yule dadaUlete mrejesho kesho shoga
Binadamu wenye roho ya utu bado wapo. Jaribu kufuatilia huko kkooHabari za usiku,,jamani nisaidieni nifanyaje. Juzi nilikua kkoo nikatoa Pesa kwa Crdb wakala, mtandao ulisumbua sana badae ikatoka akanipa. Nikaondoka. Sasa Leo nafsi ikaniambia angalia salio,,naangalia nakuta ile Pesa niliyotoa ,,imetoka na nyingine kiasi kile kile ,,nikapanic kurudi kwenye msg zipo mbili zinaonesha hela ilitoka Mara mbili ( laki 2 ×2=400000/=) nimepanic sijui naanzia wapi ,,nataka kesho niende kwa Yule wakala je atakubali ndo kinachonipa headache ,,nifanyaje nipate Pesa yangu??? Mwenye wazo wapendwa,Ahsanteni. Nilikua na Mr alinizuia kabisa kutoa pesa kwa wakala kwa vile niliona ATM ziko mbali nikalazimisha,,sasa nahaha mwenyewe kitandani naogopa hata kusema[emoji36]
Aisee,,pole sanaHabari za usiku,,jamani nisaidieni nifanyaje. Juzi nilikua kkoo nikatoa Pesa kwa Crdb wakala, mtandao ulisumbua sana badae ikatoka akanipa. Nikaondoka. Sasa Leo nafsi ikaniambia angalia salio,,naangalia nakuta ile Pesa niliyotoa ,,imetoka na nyingine kiasi kile kile ,,nikapanic kurudi kwenye msg zipo mbili zinaonesha hela ilitoka Mara mbili ( laki 2 ×2=400000/=) nimepanic sijui naanzia wapi ,,nataka kesho niende kwa Yule wakala je atakubali ndo kinachonipa headache ,,nifanyaje nipate Pesa yangu??? Mwenye wazo wapendwa,Ahsanteni. Nilikua na Mr alinizuia kabisa kutoa pesa kwa wakala kwa vile niliona ATM ziko mbali nikalazimisha,,sasa nahaha mwenyewe kitandani naogopa hata kusema[emoji36]
Pole sana mm ilishawahi nikuta nilipiga simu bank nakweli taarifa za muamala kule ilionesha hela imetoka kwa account yangu mara 2 kwa huyo wakala na wakala akapigiwa simu akaambiwa kuwa kuna mtu ametoa hela kiasi fulani kwa account namba hiyo hiyo nikapewa pesa yangu.Habari za usiku,,jamani nisaidieni nifanyaje. Juzi nilikua kkoo nikatoa Pesa kwa Crdb wakala, mtandao ulisumbua sana badae ikatoka akanipa. Nikaondoka. Sasa Leo nafsi ikaniambia angalia salio,,naangalia nakuta ile Pesa niliyotoa ,,imetoka na nyingine kiasi kile kile ,,nikapanic kurudi kwenye msg zipo mbili zinaonesha hela ilitoka Mara mbili ( laki 2 ×2=400000/=) nimepanic sijui naanzia wapi ,,nataka kesho niende kwa Yule wakala je atakubali ndo kinachonipa headache ,,nifanyaje nipate Pesa yangu??? Mwenye wazo wapendwa,Ahsanteni. Nilikua na Mr alinizuia kabisa kutoa pesa kwa wakala kwa vile niliona ATM ziko mbali nikalazimisha,,sasa nahaha mwenyewe kitandani naogopa hata kusema[emoji36]
Wakala hatokupa hiyo hela hatokuamini ww inabidi uwenataarifa za Miamala yako kumbuka wakala anahudumia watu wengi sio ww tu ndio maana nakuambia hatokuamini kwa maelezo tu.Habari za usiku,,jamani nisaidieni nifanyaje. Juzi nilikua Kariakoo nikatoa Pesa kwa Crdb wakala, mtandao ulisumbua sana badae ikatoka akanipa nikaondoka.
Sasa Leo nafsi ikaniambia angalia salio,,naangalia nakuta ile Pesa niliyotoa ,,imetoka na nyingine kiasi kile kile ,,nikapanic kurudi kwenye msg zipo mbili zinaonesha hela ilitoka Mara mbili ( laki 2 ×2=400000/=) nimepanic sijui naanzia wapi ,,nataka kesho niende kwa Yule wakala je atakubali ndo kinachonipa headache ,,nifanyaje nipate Pesa yangu???
Mwenye wazo wapendwa,Ahsanteni. Nilikua na Mr alinizuia kabisa kutoa pesa kwa wakala kwa vile niliona ATM ziko mbali nikalazimisha,,sasa nahaha mwenyewe kitandani naogopa hata kusema[emoji36]
Amna kwaeneo lile hata mm nikiwa naenda kununua vitu huwa naenda kutolea kulekule natoa kiasi nachotaka nanunua nilichokifuata naondoka naona nisalama zaidi kwangu.Mmmmmh hio bet ni ngumu, ila jaribu....
Ila kutoa hela k.koo nako ni maamuzi magumuu