Naomba msaada wakuchakachua simu ya kichina

hili ni jukwa la wataalamu, kama wewe hujui kitu kama mimi basi unatakiwa ukae kimya uwe mtazamji tu.

mbona ww ujakaa kmya mkuu ungeonyesha mfano ucngejibu maana ujatoa jibu yy katoa mchango wake
 
Wakuu hakuna mtu anakatazwa kucheka wala haijasemwa jukwaa hili ni la kununa.
Mtu anataka msaada mwingine analeta utani if thats so then its ok.kesho utaomba wewe uambiwe kaipande shambani itaota mpya.
Waliocheka wamecheka walionuna wamenuna, naona tunakwenda off point turudi ktk mada anahitaji msaada if posibo asaidiwe
 
sasa na ww unafanyaje! au na ww unaongeza idadi ya post zako?

mkuu cpo kuongeza idadi ya post hapa nipokutoa solution ya yale ninayojua hapa na wengi wamenufaika kama tatizo lake linatatulika ss cjui swali lako linamanisha nn yani nielezee njia ninayotumia kufanya au?
 
Wakuu hakuna mtu anakatazwa kucheka wala haijasemwa jukwaa hili ni la kununa.
Mtu anataka msaada mwingine analeta utani if thats so then its ok.kesho utaomba wewe uambiwe kaipande shambani itaota mpya.
Waliocheka wamecheka walionuna wamenuna, naona tunakwenda off point turudi ktk mada anahitaji msaada if posibo asaidiwe

ok tumesharudi kwenye point now nimesham2mia nasubiri majibu yake naona ajarudi tena tangu apost
 
mkuu cpo kuongeza idadi ya post hapa nipokutoa solution ya yale ninayojua hapa na wengi wamenufaika kama tatizo lake linatatulika ss cjui swali lako linamanisha nn yani nielezee njia ninayotumia kufanya au?
usiwe mwepesi wa kusahu kiasi hicho, hilo ni jibu kwacomment yako kwenye post yangu.
 
mkuu hizo sio zakichina ni cm org kabisa zimetolewa na tigo na zipo aina 2 nikama zinazotolewa na voda, zantel nk ni special je yako ni zile kubwa kama blackberry au ni hile ndogo ila zote zinatoka lock nijb aina yake
mkuu ka ni mtaalamu naona unataka ku-ABUSE utaalamu wako! kwanini huyo jamaa hakwenda madukani kununua cm zinazo kubali laini zote?? au ndo ametoka Mashambani...aaagh! very disghusting! wenye kubwata haya sasa!
 
Mkuu ni mgeni jukwaa hili? Au unaishi dunia ipi mwenzetu
 
mkuu ka ni mtaalamu naona unataka ku-ABUSE utaalamu wako! kwanini huyo jamaa hakwenda madukani kununua cm zinazo kubali laini zote?? au ndo ametoka Mashambani...aaagh! very disghusting! wenye kubwata haya sasa!

mkuu nafikiri umeparamia jukwaa hili jukwaa ni la taaluma unaita wakuu wachamba wakati ww ndio mshamba zaidi sory kama nimekukwaza
 
hili ni jukwa la wataalamu, kama wewe hujui kitu kama mimi basi unatakiwa ukae kimya uwe mtazamji tu.

Teh teh teh nimecheka kweli. Hiyo ndo commnet ya kwanza Miss x kwenye jukwaa la teknolojia.

Nadhani Hiyo mtazamaji sio ile ya nomino amabye ni mimi bali mtazamajai ya kiwakilishi

mkuu ka ni mtaalamu naona unataka ku-ABUSE utaalamu wako! kwanini huyo jamaa hakwenda madukani kununua cm zinazo kubali laini zote?? au ndo ametoka Mashambani...aaagh! very disghusting! wenye kubwata haya sasa!

hahah unanichekesha unadhani washamba mpaka watoke mashambani? Mimi na wewe tunaweza kuwa washamba zaidi ya wale wa mashambani. Ona tunavoingizwa mjin na mikenge juu ya dowans, EPA etc tumezubaa tu.

Si bora mshamba aliyetoka shambani kuliko mshamba wa mjini anayeishi mjini.

teh teh teh
 
Tatizo hata title ya topic imekaa kisaniii acha kina miss X wamjibu kihuni.drphone tujuze hayo mautaalamu!
 
nikweli vichwa vingine vya habari vinakuwaga na utata hivyo na majb yanakuja kiutata. tatizo lake linatatulika inahitajika kufungulia ili iweze kutumia line zote mkuu
 
Nimenunua simu ya kichina. Imelokiwa kutumia SIM card ya tiGO tu. nataka iwe inapokea laini zote.

Inaitwa MI au Mi-Q+
Imetengenezwa na Mi-Fone company
IMEI: 357213030445512.

TAFADHALI NISAIDIENI Wakuu

Naona wanachina wanasingiziwa kwa kila kitu. leo nimefanya uchunguzi wa hii simu yako nimeona nyumbani kwake ni India na sio china.
Mi was conceptualized, created and launched in April 2008, by Alpesh Patel, a seasoned Telecoms professional who saw a gap in the market for a brand which catered to the mass market sectors within emerging territories. Alpesh works with a team of Strategists,....... The World is Yours

Uchakachuaji wake naona unaweza kuwa mgumu kwa sasa sabab hizi simu ndo zinaaza kungia kwenye soko na sana sana ziko africa na Asia( India, Pakistan , etc)

Msaada ni kuwauliza watu wa tigo kirafiki wanaweza kuwa wana soft lock codes. Au jifunze kiihindi then u google india lazima watakuwa na algorithm zake. teh teh
 
hakyamungu mnanipa raha xna mbavu! Hii post officially imekua joke...mwenye jbu lingne ampe nimalizie wkend mie teh teh teh!
 
Samahani kwa kuchelewa kukujibu drphone, ni ile kubwa kama blackberry, naomba msaada wako
 
mkuu hizo sio zakichina ni cm org kabisa zimetolewa na tigo na zipo aina 2 nikama zinazotolewa na voda, zantel nk ni special je yako ni zile kubwa kama blackberry au ni hile ndogo ila zote zinatoka lock nijb aina yake

Ni ile bapa kama blackberry
 
Back
Top Bottom