Naomba msaada wakuchakachua simu ya kichina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wakuchakachua simu ya kichina

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mawenzi, Feb 25, 2011.

 1. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nimenunua simu ya kichina. Imelokiwa kutumia SIM card ya tiGO tu. nataka iwe inapokea laini zote.

  Inaitwa MI au Mi-Q+
  Imetengenezwa na Mi-Fone company
  IMEI: 357213030445512.

  TAFADHALI NISAIDIENI Wakuu
   
 2. Miss X

  Miss X Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Chukua sabuni ya omo kiganja kimoja,
  Changanya na ndimu alafu na maji lita 2,
  Weka simu yako ukiwa haina betri
  iache kwa muda wa masaa 24.
  then itoe na iache ikauke.
  Alafu iweke laini yoyote
   
 3. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Are you serious Miss X??
   
 4. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Weka sasa jina lako halisi hapa tukusaidie kuchakachua !
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu jukwaa la jokes si lipo? nachelea kusema kama hujui kwanini uchangie au unaongeza idadi ya post zako tu
   
 6. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 852
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Miss X you have made my weekend! Bwa ha aha ha aha!
   
 7. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  duh!
   
 8. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  @miss x,cna mambavu wallah teh teh teh! Ntacopy hyo!
   
 9. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hili ni jukwa la wataalamu, kama wewe hujui kitu kama mimi basi unatakiwa ukae kimya uwe mtazamji tu.
   
 10. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Acha kununua bidhaa feki
   
 11. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  Miss x yupo sahihi. kwanza tigo hawana simu za mchina. na kama zipo mnisamehe. au ni ya wizi?
   
 12. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  haya we!
   
 13. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #13
  Feb 26, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kha! Yupo sahihi ki vp? Kuna jukwa la jokes/utani hapa ndio unaruhusiwa upuuzi kama huo, acha ku suport ujinga mkuu.
   
 14. P

  Paul S.S Verified User

  #14
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  MR unazijijua bidhaa feki? Au unadhani kila kinachotengenezwa china ni feki, u're wrong.
  Kuna bidhaa duni na kuna bidhaa feki
   
 15. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #15
  Feb 26, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwani wataalam huwa hawachekagi? Ama ndio nyie mkienda nyumbani watoto wanajificha? Never take life too serious no one gets out alive anyway.
   
 16. P

  Paul S.S Verified User

  #16
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  mkuu muanzisha mada ameona jukwaa hili litamsaidia kwa shida yake kama itawezekana lakini anatokea mtu anajibu utumbo na wengine wanamsapoti nafikiri kisa ni miss.
  Hili ni jukwaa la kitaalamu kama hujui solution yake kaa kimya.
  Watu walio zoea jukwaa la upenuni utawajua tu post zao wakija majukwaa mengine
   
 17. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mkuu vp! Mbona umeninukuu mimi!, kuna Kitu mbaya nimeongea?. Hebu zipitie tena comment zangu.
   
 18. P

  Paul S.S Verified User

  #18
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  hapana mkuu tupo pamoja, nimekunukuu kuongeza msisitizo kwa ulicho komenti ni sahihi, kama kuna mtu anapenda utani na kucheka basi jukwaa lake lipo aende huko, thats all mkuu
   
 19. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kucheka 2nacheka tu!kwe kwe kwe!! Nyie mnaong'aka msaidien bac!
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu hizo sio zakichina ni cm org kabisa zimetolewa na tigo na zipo aina 2 nikama zinazotolewa na voda, zantel nk ni special je yako ni zile kubwa kama blackberry au ni hile ndogo ila zote zinatoka lock nijb aina yake
   
Loading...