naomba msaada wa wazo la biashara HALALI ya kufanya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba msaada wa wazo la biashara HALALI ya kufanya

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mutisya mutambu, May 4, 2011.

 1. mutisya mutambu

  mutisya mutambu Senior Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  msaada wa mawazo jamani,nahitaji kufanya biashara itakayo nsaidia kuyaweza maisha haya magumu yanayonikabili.mtaji nilionao ni 300000.tu nifanye biashara gani?
   
 2. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Fungua GENGE; kama upo DAR nenda asubuhi kariakoo nunua vitu kwa jumla halafu unakuja kuuza mtaani kwako. Tengeneza mazingira mazuri ya biashara, ikiwezekana weka huduma ya kupeleka bidhaa nyumbani kwa mteja. Tafuta wateja wa kudumu hapo mtaani kwako kwa kuwatembelea na kuwaeleza adhima yako ya kuwaletea bidha za jikoni kama nyanya, vitunguu n.k. kisha tafuta kijana ambae utampatia baiskeli halafu asubuhi anapita kwa wateja wako kuchukua order ya mahitaji yao na baadae kuwasambazia.
   
 3. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushauri mzuri,nami nakuunga mkono.
   
Loading...