Naomba msaada wa Ultrasnow Fixer ya iOS 7.1.2

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Habari zenu wakuu, hivi kuna Ultrasn0w Fixer kwajili iOS 7.1.2. Nina tatizo na iPhone yangu nime upgrade iOS ikaniletea tatizo la network (NO SERVICE)
 
Inasemekana Ultrasn0w ya iOS 7.x haijatoka ila unaweza ukajaribu ku turn on Airplane Mode halafu reboot simu yako kisha turn off Airplane Mode.

Hiyo ikishindikana, nenda kwenye reset navigation halafu bonyeza reset network settings. Ikikataa hapo ndio mwisho wa knowledge yangu.

Mkuu unaweza kunisaidi, siwezi kufanya chochote kwenye iPhone 4s yangu aliyeniuzia kasahau password Apple Account yake
 
Asante kwa msaada wako mkuu, nimejaribu limebuma. Ntaendelea kupambana nalo.

Kwa tatizo lako ni dogo lisikusumbue kichwa. Tafuta software itakayo kupa access ya system files za simu yako, mfano iFile.

Kisha futa files/folders zifuatazo

/var/mobile/Library/ -- delete folder la ConfigurationProfiles
/var/mobile/Library/Accounts -- delete files zote zilizomo ndani ya hiyo folder

Kisha zima na kuwasha simu yako itakuwa haiulizi tena Apple ID na password
 
deejayWillz imekubali iko poa kabisa sasa. shukrani
 
Last edited by a moderator:
kuna ambaye anaujuz wa jinsi ya ku bypass activation ya hii iphone 4s mana line zangu zinagoma kuwa supported
 
Back
Top Bottom