Ndugu
Kuna kijana kachaguliwa Bachelor of science in nursing : Catholic university of health and allied science. Amekosa mkopo batch 1, ameomba tena. Anaomba kujua kama kuna Taasisi inayoweza kutoa Ufadhili au mkopo ili aweze kutimiza ndoto zake. Mawasiliano 0765300981. Karibuni kwa msaada wa mawazo. Asante.