Sasa kumbe unazo techniques za kutosha, basi msaidie jamaa. Nimesoma reactions zako hapo juu, sina haja ya kubishana nawewe. ShikamooWe huyajui maisha halafu tuliza akili, Mimi nlikwenda chuo sina ada wala nini, nlikuwa nanunua mkate wa buku nakunywa chai saa tano nusu kipande halafu namalizia nusu kipande chengine saa kumi na mbili jioni nalala. kipindi kimoja asubuhi kimoja jioni kikiisha cha asubuhi nalala msikitini mpaka jioni maana mia mbili ya daladala ya kurudi ghetto ambako nlifadhiliwa tu na mshkaji sikuwa nayo. ila mbona nlimaliza na sasa good times?? sikujali stationeries, sikujali sana ishu ya meals.
Peace and love mkuuSasa kumbe unazo techniques za kutosha, basi msaidie jamaa. Nimesoma reactions zako hapo juu, sina haja ya kubishana nawewe. Shikamoo
Kijana aliyekamilika viungo vyote anaomba hela live bila kuonyesha jitihada ni wa kutiliwa shakaasante kwa kunishauri nimeelewa sana
Afanye wk 1 kisha amfuate boss wake. Hatakataa kumpa advance. Lengo hapa ni lazima aonyeshe kupambana kwanza. Akiona pagumu arudi hapa binafsi ntamchangia 100,000 ila nione efforts zake kwanzaOya mkuu, kama una nia ya kumsaidia wewe msaidie tu. sasa akatafute kazi ya ulinzi leo? huo mshahara atalipwa lini? na deadline ya kulipia chuo imefika. Hebu kueni mnafikiria basi kidogo.
Hv hakuna spana ya kulegezea?[emoji102]Vyuma vimekaza
Matapeli ni wengi ndugu yangu. Ungekuwa na ID ya jina lako, ukaweka vyeti vyako na hayo matokeo ungepata msaada chap tuu. Ukisema namba ni hyo na jina ni hlo kwenye list watu ni vigum kuelewa maana siku hz hata ukiwa unasajili lain wanakuuliza tuandike jina hili au lingine. Kuwa serious utasaidiwa.
Mwizi siku zote hamwamini mtu[emoji1321]
Asante [emoji1431]. Ubarikiwe
Haa haaa!Uchaguzi mkuu 2015 kura ulipiga? Na ulimpa nani kura yako? Kati ya elimu bure had fm4 au elimu bure had chuo?
Nenda Radioni, hasa kwa Zembwela, CloudsFM, EFM n.k. Usisahau TV'sAccount ya chuo hiki hapa
Jina:Water Development and Management Institute, Akaunti :22501000004, Benki:NMB Mlimani City Branch,Dar es Salaam.
Sipo hapa kwa nia ya kitapeli. Nimeweka namba hapa kwa sababu,siku ya kuripoti natakiwa niwe na risiti za benki na si vinginevyo!
Wabongo bhana, km hujisikii kumsaidia mtu ama hauna pesa ni bora ukae kimya, mara mia hata umpe pole kuliko maziganya haya unayoboronga, huwez jua ni kias gani unamkwaza mwenzio..Uchaguzi mkuu 2015 kura ulipiga? Na ulimpa nani kura yako? Kati ya elimu bure had fm4 au elimu bure had chuo?
0689997808 namba ni hiyo hapo nduguMtu amejieleza toka ndani ya Nafsi yake lakini humu vilaza wanamkejeli,wanamponda wengine wanamdhalilisha wamejisahau kua shida ni ya kila mtu hapa duniani
MLETA MADA NAOMBA NAMBA YAKO YA SIMU NIKUCHANGIE NILICHO NACHO,,[emoji1321]
nipo DarKama upo hapa dar es salaam kwa sasa unaweza kuonana na mh.Paul Makonda ukamueleza shida yako, anaweza kufanya jambo kwa ajili yako coz ni moja kati ya vijana wenye moyo na utu hasa kusaidia watu wenye shida.
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Naomba kuijua kampuni moja wapo!Tafuta kazi ya ulinzi ufanye kuna kampuni zinalipa mpaka laki 5 kwa mwez....mchana unaingia class usiku lindoni