albert mwakalinga
Senior Member
- Aug 27, 2015
- 126
- 49
Tractor ya 4 wheel ni nzuri ambayo HP NI 85 .Kwa ushauri mwingine tuone wauzaji wa zana bora za kilimo tutakushauri,na ukipenda tutakuuzia kwa bei nzuri lakini tractor mpya na imaraHabari zenu wadau wa kilimo? Naomba msaada wa maelezo ya tractor hlenye hp 50 na kuendelea.Pili kujua ni lipi zuri kati ya 4 wheels drive na 2,tatu upatakinaji wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wadau wa kilimo? Naomba msaada wa maelezo ya tractor hlenye hp 50 na kuendelea.Pili kujua ni lipi zuri kati ya 4 wheels drive na 2,tatu upatakinaji wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi habari za wakati huuHorse power itakupa nguvu zaidi kwenye tractor yako. Horse power inapozidi kuwa kubwa ndio nguvu ya tractor pia inazidi kuwa kubwa. Lenye 4wd linakua zito zaidi ila pia lina kua na faida ya kupita maeneo korofi zaidi, lenye 2wd ni jepesi linakimbia zaidi ila uwezekano wa kushindwa kupita maeneo korofi ni mkubwa ukilinganisha na la 4wd. Wingi wa horse power, na lenye 4 au 2 wd inategemea sana na aina ya mashamba unayolima yakoje au unaenda kufanyia kazi gani.
Kwa mfano, kama unaenda kufanyia kazi mashamba ya maeneo ya kibaigwa, tractor la hp 50 hadi 60 na ni 2wd linatosha kabisa maana udongo wa kule ni kichanga. Ila kama unaenda mashamba yenye mfinyanzi lenye 4wd utafanya kazi vizuri zaidi.
Pia kama unahitaji tractor kwa ajili ya kusombea mizigo na barabara ni nzuri lenye 2 wd na hp ya kuanzia 65 linaweza vuta mzigo wa gunia hadi 50 za mahindi vizuri tu.
Tractor karibia zote ni nzuri. Ila usijaribu kununua za kichina. Nina ushuhuda mzuri sana wa tractor aina tatu tofauti za kichina ambazo zinavutia kwa muonekano ila ni takataka kwenye uimara. Massey ferguson trekta yeboyebo kabisa na upatikanaji wa spare na mfundi kwa hili wala usiwe na hofu. New holland tractor imara spare na mafundi pia wapo. Farmtrack, spare zipo za kutosha na mafundi wa kutosha na inafanya kazi safi kabisa namiliki mbili hizo farmtrack so naongea kitu ninachokijua vizuri sana. Swaraj spare zipo kibao na mafundi kibao pia ila ni nyepesi, vinakimbia kama gari[emoji16]. Taffe ni kama massey ferguson spare zinaingiliana. Matrekta hayo hapo juu yote ni mazuri sana tu na bei zinaanzia milioni 32 hivi kuendelea kutokana na ukubwa wa tractor.
Sasa kwenye hili kundi la ford, john deere, sonalika, kubota, fendt. Hizo ziache kabisa ni kama kumiliki rolls royce au range rover velar na nissan pathfinder, ni nzuri sana ila bei ya spare zake ni bei ghali sana na upatikanaji wa spare ni mgumu pia na mafundi wengi hawazijui hizo. Usidanganyike mtu kukuambia utaagiza online, sawa spare itafika je itachukua muda gani kufika na je mvua itakua inasubiri wewe utengeneze chombo chako ndo inyeshe? Sonalika na john deere nime experience tabu ya upatikanaji wa spare na wanaouza spare zake wanaringa sana.
Ukiwa na maswali usisite kuuliza. Pia utambue kumiliki tractor ni kama gari, sio kwa sababu inapiga kazi ngumu ndo usifanye service kwa wakati, litakuliza. Zingatia kila kitu na kwa wakati
Hizo ulizozitaja Massey Ferguson na New Holland zote ni takataka kwa sababu zote zinatengenezwa uturuki na pakistani. Achana nazo.Kiongozi habari za wakati huu
Naomba uzoefu wako mkuu, kati ya Massey Ferguson na New Holland ipi ni first choice kwako? Kama ni Massey Ferguson ni number ngapi, HP ngapi? na je ni kweli 4WD ya massey inafanya kazi muda wote au inaweza kuwekwa na kutolewa kama gari ya kawaida? Vipi New holland ni namba ngapi? HP ngapi? na je 4WD inafanya kazi vipi ukilinganisha na Massey?
farma track sio trector imara kwanza wamekopy vitu vingi kutoka katika trector ya ford walichoongezea ni mfumo wa haidrolic tu ...na spea zake nyingi zinaingiliana na ford 4600Hizo ulizozitaja Massey Ferguson na New Holland zote ni takataka kwa sababu zote zinatengenezwa uturuki na pakistani. Achana nazo.
Kamata kitu cha FARMTRAC. Hizo ndiyo trekta za uhakika kwa ardhi yoyote ya Tanzania, zinalima mpaka ekari 45 kwa masaa 12. Zinabeba mzigo mkubwa na mzito sana na shambani hata udongo wa matope zinalima kwa spidi ya Ferrari.
Nakushauri nenda pale SUMA JKT kama FARMTRAC moja uanze kunuka pesa,
Ukikosa FARMTRACK kamata URSUS.
Kama umekuja kwa lengo la kumuua mwenzio kwa pressure, endelea kumshauri anunue hizo taka taka ulizotaja!!, et ursus na farmtrak! Huwez kua seriaz hata kidogoHizo ulizozitaja Massey Ferguson na New Holland zote ni takataka kwa sababu zote zinatengenezwa uturuki na pakistani. Achana nazo.
Kamata kitu cha FARMTRAC. Hizo ndiyo trekta za uhakika kwa ardhi yoyote ya Tanzania, zinalima mpaka ekari 45 kwa masaa 12. Zinabeba mzigo mkubwa na mzito sana na shambani hata udongo wa matope zinalima kwa spidi ya Ferrari.
Nakushauri nenda pale SUMA JKT kama FARMTRAC moja uanze kunuka pesa,
Ukikosa FARMTRACK kamata URSUS.
Umeona kaka , mara mia bora angemshauri ford, BERALAUS , JOHN DEAR JAPO NAVIONA NI VIDOGO ILA VINAHIMILI SANA MAZINGIRA YETUKama umekuja kwa lengo la kumuua mwenzio kwa pressure, endelea kumshauri anunue hizo taka taka ulizotaja!!, et ursus na farmtrak! Huwez kua seriaz hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ulizozitaja Massey Ferguson na New Holland zote ni takataka kwa sababu zote zinatengenezwa uturuki na pakistani. Achana nazo.
Kamata kitu cha FARMTRAC. Hizo ndiyo trekta za uhakika kwa ardhi yoyote ya Tanzania, zinalima mpaka ekari 45 kwa masaa 12. Zinabeba mzigo mkubwa na mzito sana na shambani hata udongo wa matope zinalima kwa spidi ya Ferrari.
Nakushauri nenda pale SUMA JKT kama FARMTRAC moja uanze kunuka pesa,
Ukikosa FARMTRACK kamata URSUS.
Swaraji ni teknolojia ya muhindi but kakopy block na gia box kutoka kwa massey furgason ....nina uzoefu mkubwa na matreka hili ni trekta langu la pili kumiliki baada ya fordAcha kudanganya watu. Huwezilinganisha Massey, New holland na huo uchafu unaoutangaza wa Farmtrac na Ursus.
Ni afadhali kununua SWARAJ