Naomba msaada wa tatizo la kikwapa

Pia tumia deodorants baada ya kuoga ili ujikeep fresh,
Deodorants zin tabia ya kubadilisha hali ya kwapa. Si nzuri sana kwa kutatua tatizo la kutokwa harufu isiyovutia kwenye kwapa bali hufnya kwapa kuficha harufu na ple utakapoacha kuzitumia tu, unaweza ukajuta kuzifahamu.

Kama walivyoshauri wengine, ni bora uktumia maganda ya limo na kuzingatia usafi mara kwa mara. Kikiingia kutoka inahitji jitihada na muda pia.
 
Kweli kabisa.
 
Nina umri wa miaka 23 sikuwahi kuwa na tatizo hili katika makuzi yangu huu ni mwezi wa tatu nasumbuliwa na tatizo hii, Kama ni usafi ninajitahidi kwani mpaka kwa siku nabadilisha na kuoga Mara 2 .

Msaada kwa jukwaa hili na wana JF kwa ujumla member wote

1. Je nifanyeje kuepukana na hali hii
2. Kuna dawa au ndia ya kutoa hii
3. Kwa yeyote mwenye ufumbuzi please
1. ACHA KUVALIANA AU KUAZIMANA NGUO.
2. SAFISHA KWAPA KWA MAJI YA MDALASINI NA HILIKI
3.SAFISHA KWAPA KWA UKOKO WA UGALI ULIO LOWEKWA
 
Nina umri wa miaka 23 sikuwahi kuwa na tatizo hili katika makuzi yangu huu ni mwezi wa tatu nasumbuliwa na tatizo hii, Kama ni usafi ninajitahidi kwani mpaka kwa siku nabadilisha na kuoga Mara 2 .

Msaada kwa jukwaa hili na wana JF kwa ujumla member wote

1. Je nifanyeje kuepukana na hali hii
2. Kuna dawa au ndia ya kutoa hii
3. Kwa yeyote mwenye ufumbuzi please
Mkuu kata ndimu vipande viwili weka kimoja kwapa ya kushoto na chengine kulia. Kwa dakika 15 halafu sugua kwa dakika 2 nenda kaoge na sabuni ya Detol, fanya hivi kwa wiki moja halafu leta mrejesho hapa.
 
Mkuu hujaainisha tatizo LA kwapa limefanya nn? Je linatoa harufu? Au linatoa Jasho kwa wingi? Au linawasha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom