Naomba msaada wa tatizo la kikwapa

Nina umri wa miaka 23 sikuwahi kuwa na tatizo hili katika makuzi yangu huu ni mwezi wa tatu nasumbuliwa na tatizo hii, Kama ni usafi ninajitahidi kwani mpaka kwa siku nabadilisha na kuoga Mara 2 .

Msaada kwa jukwaa hili na wana JF kwa ujumla member wote

1. Je nifanyeje kuepukana na hali hii
2. Kuna dawa au ndia ya kutoa hii
3. Kwa yeyote mwenye ufumbuzi please
hilo ni tatizo kubwa kwa watu wengi. tatizo lingine ni kunuka mdomo, yaani watu wengi nakutana nao wananuka sana mdomo utafikiri kuna choo ndani, hasa wanaume, akiwa anaongea unatamani kuondoka. mimi mwenyewe wakati mwingine kama sijala mda mrefu najistukia naogopa nisijenuka kama wengine. nafikiri ni kukithiri kwa kuzamia chumvini wakuu mdomo umebadilika kuwa mbunye, itabidi tuache ule mchezo hata kama wengi wetu tunaupenda (hasa unaposikilizia chumvi na kauharufu ka nyanya kakipenyeza puani hadi akilini...)
 
Tatzo hamuogi na kurudia rudia minguo ya ndani hyo. Ukishaona shati ume sweat nalo siku nzima usilirudie kesho. Period.

Kuna dem mmoja namjua ni mzuri kweli ila ana kikwapa balaa...(Its such a turn OFF)...nikamfatilia kwa karibu nikagundua ni mchafu tu. Mwanamke unatoa harufu ka dume, aaah hata kama una kalio beer zangu hunywi wala hela zangu hupati. Jitu unakuta lichafu lichafu tu.

Usafi kwanza hayo malimao sijui deodorant utajisumbua tu. Ukisha sweat tokea kwa mihangaiko yako usirudie nguo zako za ndani, kunywa maji mengi ku dilute chumvi kali mwilini hyo, oga na sabuni ya malimao na ujipake hayo malimao (ofkoz after ukishanyoa hzo pubic hairs atleast once every 14 days).

Kikubwa ni usafi....usije kosa mke bob. NO chick is gana date u if u stinking like rusted iron bruv.

UpGrade (Sio mpaka umiliki mamilioni).
 
hilo ni tatizo kubwa kwa watu wengi. tatizo lingine ni kunuka mdomo, yaani watu wengi nakutana nao wananuka sana mdomo utafikiri kuna choo ndani, hasa wanaume, akiwa anaongea unatamani kuondoka. mimi mwenyewe wakati mwingine kama sijala mda mrefu najistukia naogopa nisijenuka kama wengine. nafikiri ni kukithiri kwa kuzamia chumvini wakuu mdomo umebadilika kuwa mbunye, itabidi tuache ule mchezo hata kama wengi wetu tunaupenda (hasa unaposikilizia chumvi na kauharufu ka nyanya kakipenyeza puani hadi akilini...)
Ukisha jua mode of transmission au the way how can get infection bus ni njia moja ya kupona mkuu
 
Nina umri wa miaka 23 sikuwahi kuwa na tatizo hili katika makuzi yangu huu ni mwezi wa tatu nasumbuliwa na tatizo hii, Kama ni usafi ninajitahidi kwani mpaka kwa siku nabadilisha na kuoga Mara 2 .

Msaada kwa jukwaa hili na wana JF kwa ujumla member wote

1. Je nifanyeje kuepukana na hali hii
2. Kuna dawa au ndia ya kutoa hii
3. Kwa yeyote mwenye ufumbuzi please
Tumia limao kujisugulia kila siku mara 2 ndani ya siku 7 utaona mabadiliko
 
Tatzo hamuogi na kurudia rudia minguo ya ndani hyo. Ukishaona shati ume sweat nalo siku nzima usilirudie kesho. Period.

Kuna dem mmoja namjua ni mzuri kweli ila ana kikwapa balaa...(Its such a turn OFF)...nikamfatilia kwa karibu nikagundua ni mchafu tu. Mwanamke unatoaje harufu ka dume.

Usafi kwanza hayo malimao sijui deodorant utajisumbua tu. Ukisha sweat tokea kwa mihangaiko yako usirudie nguo zako za ndani, kunywa maji mengi ku dilute chumvi kali mwilini hyo, oga na sabuni ya malimao na ujipake hayo malimao (ofkoz after ukishanyoa hzo pubic hairs atleast once every 14 days).

Kikubwa ni usafi....usije kosa mke bob. NO chick is gana date u if u stinking like rusted iron bruv.

UpGrade (Sio mpaka umiliki mamilioni).
mkuu ahsante sana nimekuelewa sana ipasavyo
 
Powah Mzee Raza Ahsante sana kwa ushauri wako. Pia Hiyo Deodorants ni perfume au mafuta
Usitumie kabisaaa hayo makemikali. Fanya hivi: chukua ndimu, ikamulie chini (pembeni) halafu tumia lile ganda lake kusugua kwapa kwa km dakika 1-2 hivi. Fanya hivi leo, ruka kesho, fanya keshokutwa mpaka ufikie mara 5. Ukinuka tena, umerogwa
 
Aisee kweli ushauri wako mzuri kweli ahsante sana nimesha pata ndimu tayari kilicho baki ni matumizi nianze kutumia kwa nzia Leo
 
Tumia limao mkuu hautojutia uwe unasugua kama dk 5 hivi....
Pia epuka perfum a ajabu ajabu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom