Biashara Mtaji
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 324
- 288
Ahsante sana mkuu kwa ushuri wako, Mazoezi nafanya na huwa muda mwingi nikiwa nyumbani huwa kifua wazi, sema hapo kwenye nguo ngoja niingie kwenye soko la mitumba pamba mwanzo mwishoKwa haraka haraka fanya mazoezi ufungue hizo tezi,pia jitahidi kuvaa nguo za pamba kipindi cha jua na joto kali
Pia tumia deodorants baada ya kuoga ili ujikeep fresh,Ahsante sana mkuu kwa ushuri wako, Mazoezi nafanya na huwa muda mwingi nikiwa nyumbani huwa kifua wazi, sema hapo kwenye nguo ngoja niingie kwenye soko la mitumba pamba mwanzo mwisho
Powah Mzee Raza Ahsante sana kwa ushauri wako. Pia Hiyo Deodorants ni perfume au mafutaPia tumia deodorants baada ya kuoga ili ujikeep fresh,
mhh,halali hilo kwapa linuke,maana kumbe hauyajui mengi,karibu mjini anyway!Powah Mzee Raza Ahsante sana kwa ushauri wako. Pia Hiyo Deodorants ni perfume au mafuta
mhh,halali hilo kwapa linuke,maana kumbe hauyajui mengi,karibu mjini anyway!
Powah ahsante sana mkuu kwa msaada wako wa mawazo nipo njiani kutafuta malimaoOga kisha kausha ma kwapani thn chukua limao pakaa wacha ikauke fanya ivyo kwa wiki 1 kila kitu kitakuwa powa
Kinatoa jasho mkuu, ni dakika chache tu shati kwapani limeloaKikwapa kimefanyaje mkuu?
Mkuu ahsante sana hiyo Nivea ndio kuna mtu pia kaniambia nitumie na je unaweza pia kutumia zote pamoja na Deodorants?Pole sana kijana mwenzangu, fanya hv kabla ya kuoga jisugue na majivu weka maji kidogoo then jisugue makwapani kwa sec 30 mpka 45 au unaweza tumia limao kujisugilia kwenye kwapa. Baada ya hapo pakaa deodarant unaweza tumia ya nivea for men na products nyingine. Hakika tatizo lako linaweza kuisha au kupungua kwa kiasi kikubwa.
mkuu ahsante lakini nieleweshe kwani ndio maana nimeomba msaada mkuumhh,halali hilo kwapa linuke,maana kumbe hauyajui mengi,karibu mjini anyway!
Ahsante sana RosweeterLimao ndiyo kila kitu, kama ambavyo tayari umeshauriwa na wengine hapo juu
Mkuu ahsante sana hiyo Nivea ndio kuna mtu pia kaniambia nitumie na je unaweza pia kutumia zote pamoja na Deodorants?