Naomba msaada tatizo la betri kwenye laptop

Naomba msaada tatizo la betri kwenye laptop

middo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
207
Reaction score
56
Habari wadau,

Naomba kufahamishwa, laptop yangu kwenye icon ya battery inaonesha eti no battery detected wakati battery ipo. Moto hauingii kwenye battery, ukizima umeme laptop nayo inazima.

Naomba kujua tatizo itakua battery, charging system au nini hasa.

Natanguliza shukran
 
jamaa hiyo batry ishakufa nunua nyengine. mimi ninazo nichek 0716-844978
 
Unayo? unajua natumia laptop aina ipi??
 
Back
Top Bottom