Mwenye NAYO au kufahamu driver ya laptop dell ya kusaport line ili iweze kusoma na kuconnect ktk INTERNET katka computer aina ya dell D630 naomba msaada plz NATUMIA WINDOW 7.NAOMBA ANITUMIE HAPA AU INBOX PLZ.
Kaka hii ya mwisho nmefanya Installation lakn ikifka mwisho inakataa cjajua kwa nndriver zipo hapa
Support sur les produits | Dell France
ila naona cdma za kutosha na mitandao ya kimarekani jaribu hii kwanza
http://downloads.dell.com/comm/R164067.EXE
ikikataa chagua nyengine