Wataalamu wa haya mambo naombeni settings za internet (sio wap) za voda kwenye Samsung Galaxy Grand Neo (GT-I9060).
Kuna ambazo zimeingia automatically za wap lakini hazifanyi kazi vizuri. Yaani haikubali Youtube wala Play store wala kudownload picha from whatsupp.
Thanks
Jimmy