Mahunda Jr
Member
- Apr 5, 2020
- 76
- 108
Nashukuru kwa msaada huo wa mawazoTafuta majina ya waalimu wako wa chuo au sekondari au msingi afu waandike bila kuwapa taarifa, weka majina yao pamoja na namba zao za simu afu kuhusu Email zao tumia za hizo shule au chuo kama shule ya msingi/sekondari haina Email bc jitungie yoyote kuendana na jina la shule mfano Themi-Secondary-Arusha@gmail.com mana hata hvy hua hawatafutwi kutoa taarifa zako ila usije kuthubutu kuandika ndugu/marafiki zako mana n lazima uweke vyeo vya hao refferes wako
Referres wangekuwa wanatafutwa aisee lazima wangekuwa wanaongea shit sana khs sisi 😂Ukitoa vyeti taarifa zilizobaki waweza kuweka unataka ziwe don't complicate mambo.
Wadhamini Mimi huwa naandika bila kuwa -inform then mchongo ukitiki huwa nawapa ten , ten kila mmoja na kusema Mbarkiwe huwa wanashangaa.
Sasa unatoa wapi email zao na taarifa zao mana zinahitajika. Kazi yake piaUkitoa vyeti taarifa zilizobaki waweza kuweka unataka ziwe don't complicate mambo.
Wadhamini Mimi huwa naandika bila kuwa -inform then mchongo ukitiki huwa nawapa ten , ten kila mmoja na kusema Mbarkiwe huwa wanashangaa.
HahaVijana wa siku hizi mna shida sana, tunga tu majina mawili mfano Ally Mkulima, tengeneza email yake mfano allymkulima@yahoo.com, mpe Cheo mfano Mkurugenzi Mkuu Dodoma Mining Company, weka simu ya ndugu yako yoyote basi, Muajiri akitaka kumtumia Form ya Vetting kwenye Email ile Fomu utaipokea wewe mwenyewe na utaijaza wewe mwenyewe na kuwarudishia simple tu no stress. Maana unaweza ukamuweka mtu kama refarii wako mtu ambaye yupo busy anafungua Email yake mara moja kwa mwezi,hivyo akitumiwa Fomu aijaze kuhusu wewe hataipata kwa wakati. Na pia refarii wengine kwa roho mbaya tu anaweza asijaze au akujazie mbovu,lakini ukiandika refarii watatu wa Uongo maana yake utakuwa unaziaccess Email zote,hivyo utajijazia wewe mwenyewe na kujifagilia kwamba unafit kwa kazi uliyoomba
Hauna wazazi au walezi? Kwanini hao wanaokujuwa zaidi wasiwe "referees" wako?Habari,
Sina mengi ila naomba msaada wa referrals (marefa) wanaohitajika kwenye mchakato wa kuomba ajira mpya za serikal.
Kiufupi inaweza kufikirisha kwa baadhi ya watu humu ila kwangu nina maana kubwa.
Sina ndugu yeyote au mtu wa karibu ambae naweza kumuomba details zinazohitajika kwa refa, na ambae pia ni mwajiriwa na mwenye details hasa email.
Nipo morogoro mjini
Asante
Kuna details zinazohitajika kama email kazi yake na vingne kadhaa. Asa wazaz wanalima uko email hawajui ata ni kitu ganHauna wazazi au walezi? Kwanini hao wanaokujuwa zaidi wasiwe "referees" wako?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Referres wangekuwa wanatafutwa aisee lazima wangekuwa wanaongea shit sana khs sisi 😂