Naomba msaada wa quote link ya thread

NAMESHE

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
669
Reaction score
796
Naombeni msaada wa wa namna ya ku quote link ya thread fulani! Kwa mfano labda mtu aliweka thread yake sasa nataka ku quote kile kichwa cha habari (link).

Sijui nimeeleweka! Mfano kama wewe unataka ku quote hiyo heading yangu hapo juu
 
Kufungua ID hata sijamaliza wiki tayari nimekuwa <b>JF-Expert Member. </b><br />Ahsante JF, hahahahaha raha sana. Nadhani wiki ijayo nitakuwa Platinum member kama akina Nyani Ngabu.<br /><br />salamu nyingi kwako Mwifwa, MBITIYAZA Mgibeon,

aina ya kwanza.
 
Kama unatumia simu kila ukifungua thread juu kulia kuna vidoti vitatu ukibonyeza hiko kitakuja na option ya 'copy url' ibonyeze hiyo option hapo unakua tayari umeshacopy thread.

Kama unatumia browser ile address iliyopo kwenye tab unaihighlight yote na kuikopi na kazi ishaisha.
 



Fwata hizi step, kama utatumia browser na ukitumia app ni vile vile una copy link ya sredi na kupest kwenye sehemu nilionyesha kwenye picha ya app usipo paelewa uliza.
Anzia picha ya chini kwenda juu..
3. Paste
2. Copy
1. Bonya alama iyo niliozungushia baada ya kukopi link
 

Attachments

  • CB98EB99-B873-4333-8003-A06AC53D976C.jpeg
    16.1 KB · Views: 64
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…