Shilewashile
Senior Member
- Dec 2, 2014
- 121
- 48
Naomba msaada wa maana ya Phrases na Synonyms na mifano yake.
phrase ni fungu la maneno ikiwa ni sehemu ya sentensi au sentensi kamili yenye kuwajilisha wazo moja lililo timilifu, na isiwe imetenganishwa na nukta kituo kikubwa (full stop) katikati mfano:Naomba msaada wa maana ya Phrases na Synonyms na mifano yake.