Naomba msaada wa namna ya kutengeneza "Facebook & Instagram ads"

isack peter

Member
Jan 4, 2015
9
1
Habari wanaJF,

Naombeni kama kuna anayefahamu jinsi ya kutengeneza "Facebook & Instagram ads" kwa kutumia smartphone, na endapo zikafanya kazi kwa ufasaha nitaomba anitafute kwa kunipa elimu juu ya hili. Nitamlipa kidogo maana elimu ina gharama.

Namba: 0683484606
 
Nenda YouTube, utapata step by step directions::au njoo pm ni kucharge hela kidogo ya bundle nikutumie video na text..
 
Back
Top Bottom