Mie binafsi post yako,sielewei unahitaji fundi au wazo?
Maana kama ni fundi,kila kona wapo,hata hapo mkuranga kibao,na hata aliekujengea hilo la mwanzo anaweza kufanya hivyo.
La pili unasema ufanyeje ili uweze kuwekeza kwa kutumia ardhi na biashara hiyo ulioitaja,hapa ndio umenichanganya kabisaa