Naomba msaada wa maelekezo kupata mkopo mkubwa

Kintiku

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
617
319
Wasalaam,
JF natambua ni kisima cha mambo mengi. Naomba msaada kwa yoyote anayeweza kunielekeza wapi ninaweza kupata mkopo wa Tsh 70m- 100million wa muda mrefu kama miaka mitatu- sita, repayable quarterly after a grace period of two months. Riba yake iwe kati ya 10%- 18% P.a on declining balance.

Nina nyumba yenye hati wilaya ya Kinondoni thamani yake ni kati ya 50m- 100million.

Kwa wenzetu mlioko ng'ambo tafadhali kama mnaweza kunielekeza social investors au philanthropists ambao wanaweza kunikopesha kiasi hicho cha pesa kwa masharti ya kuelewana nao. Mradi naotaka kufanya ni shughuli za utoaji wa mikopo midogo ya biashara, nyumba na elimu ya ujasiliamali na ufundi stadi ( vocation skills training)

Nawasilisha
 
jaribu kuwaoana watu wa standard charter bank au stanbic bank lakini hakikisha kuwa una bank statement nzuri inflow and outflow zako
 
Nashukuru mkuu, nitajaribu kuwaona, though kwa sasa ndo nimeanza hiyo shughuli muda sio mrefu-kifupi ni almost starter up project maana imeanza sio kitambo sana
 
Asante sana kintiku katika kiwango kicho cha mkopo pana watu wengi sana wanashida hiyo nadhani ni muhimu kujiunga kwa namna ya kutafuta ufumbuzi
 
Back
Top Bottom