Sasa badala ya kumsaidia mnaishia umkebehi tu. Kwani kama hujui si unaacha tu kuandika na kutokujua siyo kesi ya jinai na watu wote hatuwezi kujua vitu vyote. Ustaarabu unahitajika.
Kwa unalosema unajitaji ni kutumia excel umo unaweza fungua sheets nyingi na pia ma file ya kila mwezi na data za kila siku ndani yake....au ya chocjote utakacho.
Ila kama haujui as nimeona ume mention basi sona ka kozi ka hilo au omna mtu akufundishe.
Pia sechi mitandaoni utapata maelezo ya chochote nachotaka hata maneno na videos za kujifunza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.