The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,333
- 4,153
Hapana ziko mbingunihivi modem zinazotumia dashboard kama hiyo bado zipo duniani kumbe!
😂 😂 😂 😂 😂Hapana ziko mbinguni
uzuri hakuna aliyekulazimisha kulipua bhange, ulijivutia mwenyewe.Hapana ziko mbinguni
Hahahuzuri hakuna aliyekulazimisha kulipua bhange, ulijivutia mwenyewe.
Acha kupotosha jamii wewe niko na modem ya aina hyo hlo tatzo afate hayo maelekezo nilompa hpo juumtoa mada achana hiyo modem itakusumbua sana tafuta motoleo japo ya mwaka 2015 hivi
Hujaeleweka mkuu unamaanisha ku update firmware au?Wazee, hivi kuna uwezekano wa kuipiga modem software OS nyingine nitoee ile ya zamani niweke mpya?
Ndio kiongozi. Maana firmware iliyomo ni ya zantel ya zamani sasa haisomi laini yoyote hata hizi zantel mpyaHujaeleweka mkuu unamaanisha ku update firmware au?
Hyo ni CDMA mkuu cha kufanya nenda duka zantel waambie nahtaj laini ya CDMA watakupatia huwa inagharmu kma elfu10 hvi.Ndio kiongozi. Maana firmware iliyomo ni ya zantel ya zamani sasa haisomi laini yoyote hata hizi zantel mpya
Model yake ni HUAWEI EC122
Je si ninaweza kui unlock alafu ninunue CDMA SIM card ya mtandao mwingineikasoma?Hyo ni CDMA mkuu cha kufanya nenda duka zantel waambie nahtaj laini ya CDMA watakupatia huwa inagharmu kma elfu10 hvi.
Kumbuka CDMA moderm haiwez support GSM SIM card kwa hiyo solution pekee ni hiyo.
Nawasilisha
Yeah inawezekana ila kwa Tanzania ni Zantel na TTCL pekee ndo wanahzo lain wengne ni GSM tuJe si ninaweza kui unlock alafu ninunue CDMA SIM card ya mtandao mwingineikasoma?
Windows 10 inatabia ukichomeka modem ina connect moja kwa moja bila kutumia dashboard sa ukijarbu connect itakwambia iko connected ebu check pale chini kwenye networkHabarini wakuu,wakubwa zangu shikamoni,
Nina modem yangu ya huawei Airtel iko cracked kusoma mitandao yote, hapo awali ilifanya kazi vizuri katika computer zenye window7 8 & 10 lkn sasa nikijaribu Ku connect kwenye computer yangu ya w10 OS inaleta ujumbe huo apo chini, nimejaribu kuinstall upya lkn bado ,nimefanya updation bado ,natanguliza shukran zenu wakuu View attachment 1416071
Sent using Jamii Forums mobile app