Naomba msaada wa kutafutiwa kazi yoyote. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa kutafutiwa kazi yoyote.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by tizo1, Mar 31, 2011.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Habari mdugu wana JF.Mimi ni kijana wa miaka 24.Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu 2011.Mchepuo wa HKL.Naweza kutumia computer,na sasa nipo TABORA MJINI.Nina uwezo wa kufanya kaz kwenye stationary,internet cafe na nk.Sina chanzo cha mapato naomba nisaidiwe jamani.
   
 2. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Unafaa kwa data entry,customer care na sales kama kwenye tigo,voda,airtel n.k . Jaribu kufuatilia humo. Pia Nbc wakati mwingine wanachukua watu kama wenye elimu kiwango chako,angalia miezi hii na kuendelea japo sijui kama mwaka huu wanampango huo. Pia tuma application yako Access bank tanzania,uwe unachungulia pia web yao,www.AccesswBank.com pia huwa wanahitaji form6. Jaribu hata Mamlaka ya vitambulisho vya taifa,tafuta webpage yao maana mwaka huu wanaweza kuhitaji data entry clerks. Kwa yote haya,sijakuhakikishia kuwa kuna kazi ila ni bora ujaribu. Pia kama una soft copy ya Cv,nitumie ili nijaribu kukutafutia nitakapoona ila ukipigiwa simu au email ujitambulishe kama wewe ndo uliomba wala si mimi. Tuma gsana6@gmail.com. Mkuu ila usipoitwa popote usinilaumu maana mimi sitoi kazi pia kumbuka na urasimu uliopo Tanzania, tufanye kujaribu tu. Kumbuka kuweka email kwenye cv. All the best kijana.
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Gsana

  Umenifurahisha sana kuwa na moyo kama huo, Mwenyeezi Mungu akuzidishie kila la kheri.

  tizo1,

  Ni pm nikupe email ya kutuma cv yako.
   
 4. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nashukuru kwa msaada wako!Ntajitahid nikutumie cv zangu,sasa sina computer natumia simu ya mkononi!Asante sana.
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  changamka wewe.....si uende cafe.....au unatakaje sasa?
   
Loading...