Naona baadhi ya sentesi ama zimekosewa "to be framed well" au haziko sahihi, yaani hazileti maana sahihi hata kwa kiingereza. Haya tafsiri yangu.
1. Ingawa lazima itanyesha kesho, sitaenda kumwona dk, tabibu- there is an error of its frame
2. Tutalifikiria suala tena na tena, au tutaliangalia suala tena na tena...
3. Inakuwa baridi zaidi na zaidi wakati wa mwisho wa majira ya.... autumn..
4. Neno geni/lisilofahamika lilitokea tena na tena katika andishi...
5. Hauhitaji miaka na miaka kujifunza...
Haya wengine waendelee, nisiwe mbinafsi sana......