Naomba msaada wa kuswitch Virtualisation iwe on

Mamserenger

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
1,156
Reaction score
2,120
Wakuu naombeni msaada wa ku switch virtualisation iwe on.

Maana nime downloa bluestack katika PC yangu baada ya hapo katika kuitumia Imenicommand kuwasha virtualization ili niweze ku perfom vizuri.Natumia Window 10.Proceco i5-5200 U.

Kaka zanguu Akiwemo Chief Mkwawa
 
Setting ya virtualization ipo kwenye bios.

Na kuingia bios ni wakati unawasha computer, pale juu inakwambia bonyeza something ili kuingia kwenye bios, Mara nyingi ni F2.
 
Back
Top Bottom