Naomba msaada wa Kupata office 2007

Morinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Posts
2,797
Reaction score
1,593
Habari leo wanajamii, cmputer yangu ilikua inatumia microsoft office 2007 ikapata tatitizo ikabidi niiformat. baada ya kuuiridisha katika hali ya kawaida nimekosa microsoft office 2007 ikabidi niweke microsoft office 2003. Baada ya kuweka office 2003, tatizo nililokumbana nalo ni kua docoment karibu zote zimegoma kufunguka na naona kama vile inanisumbua . Naomba mwenye msaada wa jinsi ya kupata microsoft office 2007 anisaidie.
 

IPakue hapa Ms office 2007 . Nimeshindwa kuli attach ziiped file sababu ya size

Ms office 2007 torrent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…