Naomba msaada wa kupata mawasiliano hayo

Naomba msaada wa kupata mawasiliano hayo

brightmind

Member
Joined
Dec 24, 2018
Posts
72
Reaction score
103
Habari ndg. zangu!

Naomba msaada kwa mtu mwenye mawasiliano ya Watanzania fulani waliosomea China walianzisha magroup ya whatsapp kutoa msaada namna ya kuomba Chinese scholarships kwa mwaka jana. Kwa bahati mbaya nilipoteza mawasiliano yao.

Yeyote tafadhali mwenye mawasiliano yao au links za magroup hayo aweze kunisaidia.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom