bora nikuchumbie au unasemaje?Habari zenu wana jf .mimi ni msomi wa digree ya bussness administration tangu nimalize chuo mwaka 2008 sijabahatika kupata kazi.tafadhari naomba msaada wa kupata ajira,au mawazo hata connection.asanteni sana pia naweza kuwa contacted by pm.