Ms. Kadadaa jumapili
Senior Member
- Jul 9, 2013
- 102
- 48
Habari za humu, samahani kwa mtu anayejua jinsi ya kujiunga internet kwenye iphone 4s ya kichina kila nikifungua kwenye settings halafu nikifika network nikigusa inakataa kufunguka, kwa anayejua jinsi ya kufanya niunge internet.